Hawa ni waafrika wenzetu,kama wewe tu...
Wametoka hapo Nigeria tu lakini wanafanya muziki serious sana,baada ya Akon kwenye Chop my Money,sasa wameangusha dude jipyaaaaaaa wakimshirikisha Florida Boss, Rick Ross,wimbo unaitwa Beautiful Onyinye....
Angalia video hii kwa kuclick link hii
http://youtu.be/lY2H2ZP56K4
No comments:
Post a Comment