tag:blogger.com,1999:blog-2680148411519333629.post6671262161739441108..comments2023-08-09T00:50:44.726-07:00Comments on Seth School of Thought: MWANAFUNZI WA CHUO KIKUU ATUMA UJUMBE WA KUAGA FACEBOOK KISHA AJINYONGA!DAAHSeth School of Thoughthttp://www.blogger.com/profile/15716653435724887841noreply@blogger.comBlogger2125tag:blogger.com,1999:blog-2680148411519333629.post-2333914045560775672012-06-12T09:14:03.297-07:002012-06-12T09:14:03.297-07:00Inasikitisha kweli.
Ila kuna ishu ya kisaikolojia ...Inasikitisha kweli.
Ila kuna ishu ya kisaikolojia inaweza ingia hapo, mfano: wanaume wengi katika ukuaji wetu sana sana wakati wa kubalehe huwa tunakosa mwanaume wa kutuandaa nasi kuwa wanaume. Maana mwanaume inabidi aandaliwa toka uvulana, lazima ukuzwe na kufundwa nini maana ya uanaume na wajibu unaokupasa kwenye jamii. Tamaduni za zamani zilikuwa zinalitambua hilo na kuhakikisha linafanywa kwenye ngazi ya kila familia. Sasa hio kiakili inamuandaa mtu na kuelewa kinachompasa ni nini.

Sasa siku hizi, hata mababa zetu wengine hawafahamu maana ya kuwa mwanaume ni nini na wengi ni matokeo ya kukosa hio elimu au hayo maandalizi. Unakuta baba mzima anaweza kuwa analewa muda wote na kusahau majukumu yake, au pamoja na kuwa na familia lakini pia haijali inavyotakiwa n.k.
Sasa hata kama baba upo nae ila katika kipindi cha kubalehe hakuwahi kukuandaa kuwa mwanaume au mawasiliano kati ya baba na mtoto hayakuwa mazuri, watoto wengi huweza kupata matatizo ya kisaikolojia.

Kama huyu jamaa aliejiua, ukiangalia status zake nyingi ni za kujipa moyo, ni kama mtu ambae alikuwa anaumia moyoni lakini alikuwa haioneshi na kutokana na hilo kuna wakati jamii inaweza ikafanya jambo la utani kwake, ila yeye akalichukulia kiukweli moyoni na kuzidi kumfanya awe na hisia mbaya juu yake. Mara nyingi watu kama hawa hupenda sana sanaa ya aina fulani aidha kupiga ala, au kuchora au uandishi, sababu hio inakuwa ni kama njia ya kuionesha jamii yale yanayomkuna moyoni mwake.

Na ukiangalia vizuri jamaa atakua aidha baba yake alifariki au kupotea akiwa mdogo, au kama alikuwepo basi baba alikuwa hampi nafasi ya yeye kuji-express yeye kama yeye!Emmanuelhttp://facebook.com/ejokanoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-2680148411519333629.post-74057371696358519312012-06-06T04:04:33.425-07:002012-06-06T04:04:33.425-07:00inatsikitisha ..mhh sijui wamemfanya nn uyuinatsikitisha ..mhh sijui wamemfanya nn uyuvickpostrohttp://www.facebook.com/likecontronoreply@blogger.com