Saturday, January 14, 2012

THE WORD "SORRY"
Hamna neno rahisi lakini gumu kwa Mwanaume kama neno Iam Sorry..Atakosea lakini atataka ajaladie weee msala umuangukie mamsap,madai huo ndo ukidume..Hii ni siri vijana wangu,Neno Sorry lina uwezo wa kuyeyusha barafu ya hasira iliyojaa kama mlima everest kwenye moyo wa mwanamke kwa spidi ya Light kuliko masentensi laki 2 na 70 unayojaribu kutetea kosa.Ukisema wala hupungukiwi nguvu za kiume hata lita 2 na wala size ya nanii haipungui.Learn to say Iam sorry when ur wrong,.Hapo vipi wanaume,na nyie mtaniblock kama ile jinsia nyingine?ngoja nisubiri nione!

2 comments:

  1. Ha ha ha h a h ah a..haujatulia wewe. Ishu niaje. wape vipande vyao hao wasio jua nini maana ya kutunza pezi kwa neno fupi kama samahani.

    ReplyDelete
  2. ha.haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa maniner hiii imekaa vizuri

    ReplyDelete