Thursday, May 17, 2012

WEWE NI MZURI,LAKINI BOYFRIEND WAKO ANACHEAT NA KINYAGO CHA MPAPURE...THIS IS THE REASON BEHIND

Its very tricky jinsi mapenzi yanavyo-operate.Wanawake wamekuwa wanajiuliza maswali mengi,wafanye nini ili mwanaume asicheat.Wengine wamekwenda mbele zaidi na kuanza kucompare,eti mbona mimi ni mzuri sana halafu my boy ameokota kinyago cha mpapure..

Men cheat where you dont expect...Ukidhani kwamba kwa uzuri wako basi ndo hatatoka,unajidanganya..ukidhani kwa kujipamba na kujiremba na kunukia vizuri ndio utamshika,unajidanganya...Siri ya kumshika mwanaume iko kwenye vitu ambavyo wanawake wengi wa kisasa hawana muda wa kuvifanya..

Wanajiona wao wamevuka stage hiyo na hawapaswi kufanya kivileeee...Huku ni kujisahau na ni kosa kubwa sana...Girls should always manage their Artistic Rhyme on Bed...Bed is everything to a Man..

Wanawake wengi,wanakazana kuwa Classic,ukiwaona kwa nje ni warembo kwelikweli,ingia nao kwenye penalty box...ZIROOO!!

Wanawake wabaya,wanajijua wao ni wabaya,na hawawezi kushindana na wewe kwenye Mvuto na Muonekano,lakini amini usiamini,wako super ikija suala la Kitanda...Super kuliko..

Utakaa na urembo wako,na utampoteza vilevile...Kila akiwaza wapi pa kupata game, wewe utabakia kuwa 2nd choice..The Ugly looking girl will always be the 1st priority because shes the ugliest on Bed..

Mapenzi hayana kuremba,ni kazi tu na always the ugliest wins...

Chukua hiyo itakusaidia,ukiendelea kununua high heels kwa wingi zitakuwa zinakusaidia kukudondosha tu

2 comments:

  1. tatizo wanadhani uzuri wa sura ndo kila kitu,na siri ya uzuri wa mwanamke hiko kwa mwanaume,ss watabaki kuchonha ooh mbaya hana sura wala mvuto lkn mwisho wa siku ndo mshindi wa penzi na furaha tela...kwani nani kasema sura ndo kila kitu bwana?tubadilike wasichana.

    ReplyDelete
  2. Mungu wetu mwaminifu aendelee kukupa maono juu ya yale yatakayotusaidia sisi waja wake kupitia ufahamu wako. Nakuelewa sana kaka, tuzidi kuombeana ktk mabadiliko haya.

    ReplyDelete