Saturday, May 26, 2012

HASHEEM THABIT AFANYA KITUKO CHA MWAKA,AGONGA BAJAJ HALAFU AMPIGA DEREVA WA BAJAJ HIYO

HASHEEM THABIT...MMOJA KATI YA CELEBRITY WENYE MAFANIKIO KATIKA BASKETBALL HISTORY YA TANZANIA AMEFANYA KITUKO KISICHOTARAJIWA MCHANA HUU,TAKRIBANI DAKIKA 30 TU ZILIZOPITA...

......Hasheem aliovertake gari akakumbana na Pikipiki mbele ikabidi arudi tena kushoto ambako aliigonga Bajaj iliyokuwa kwenye Sight sahihi....

CHA AJABU....Dereva wa Bajaj aliposhuka kumuhoji kwanini amemgonga na jinsi gani watalipana gharama za utengenezaji wa Bajaj yake,Hasheem alishuka,akamkwida na kumpiga mitama mia 9 na 50...Kipondo heviii

Hii si sawa kabisa kwa mtu wa hadhi yake kufanya hivyo....

Hasheem, anamiliki HAMMER ya rangi nyeupe na isingemcost chochote kuongea na dereva yule lwa ustaarabu yakaisha...Lakini cha ajabu akampiga wakati yeye ndio alikuwa na makosa....




KITUKO CHA PILI.....Hasheem akaamua kutokomea na kukimbia lakini akakumbana na Foleni na ndipo yule dereva wa BAjaj akaita Trafiki na wakamkamata kwenye Kituo Cha OILCOM Kijitonyama....








TAZAMA PICHA ZA TUKIO ZIMA HAPO CHINI.....Celebrity kama Hasheem...Kwa hela alizonazo...Top 10 kati ya Wachezaji matajiri Afrika....Hiki ni kitendo cha aibu sana


4 comments:

 1. usupastar kazi kha...

  ReplyDelete
 2. Kuna aina nyingi saaaaaaana za ulevi, ...si pombe tu hulewesha, mapenzi, madaraka,...huyu jamaa ameleweshwa na pesa cum umaarufu anaofikiria anao, sasa utamcost reputation yake.

  ReplyDelete
 3. PEsa gani Nyanza, jamaa hapa hana chati yoyote hata kucheza hachezi anatuabisha tu, kua waafrika wengine kama Ibaka wanawika sababu wanajituma na wanaongeza vitu katika game zao off season, yeye anakuja Bongo kutesa na wakati hata ajafika badala ya kwenda kwa wakina Olajuowon, Patrick Ewing na wengine kujinoa, maana haa kucheza hachezi soon watachoka nae, amshukuru saa Muumba alimpa hizo foot 7

  ReplyDelete
 4. Alipokuwa signed mara ya kwanza si alipata few billions pesa za madafu, ndo bado zinamuweka town labda, ...dude has to re-think again and again like you say, ajifue ...seems hata D-league nako hakufanya vizuri sana, Ama si hivyo urefu wake hautakuwa na manufaa kwake na taifa lake pia. .. Hashim kama utapita hapa, sikia ushauri, rudi nenda hizo camp kaimprove your potential.... Bongo ipo tu, hata ukirudi in 10 years utashika watu masikio tu

  ReplyDelete