Dunia imechange sana...Zamani Mwanaume kufika miaka 30 hajaoa ilikuwa hatari,mwiko kwanza maana wazazi na ukoo wote watakukalia kooni..Ila siku hizi,aaah,watu hawana habari,wanatafuta watoto tu kwa kuzalisha Wanawake wa watu halafu basi...Hawataki kabisa Commitment.
Inaonekana kama ni Lifestyle ambayo ilianza mdogo mdogo,ikapenetrate,na ni kama inaanza kukubalika maana ongezeko la Wanadafada kuzaa tu bila mpangilio,bila ndoa linakuwa kubwa sana,na kwao inakuwa Simple tu,yaani Freshhh...
Kwa kutambua hili,Wadada hawana habari...Wanasema kuolewa ni utumwa,heri wazae.....Na Wanaume nao wanasema kuoa mh mh,bora wapate mtoto walee,ila kuweka mtu ndani ah ah,kimeo.
Feeling zote 2 zimegongana,na zimeshabihiana halafu zikakubaliana,bila kuwa na majadiliano yoyote...Imetokea tu...
Kila jambo lina Origin...Kuna chanzo...Kwanini hali hii itokee siku hizi tu,ni utandawazi...Ni mabadiliko ya Tabia nchi...Ni nini haswa???
Lazima kuna jambo...
Source iliyosababisha inaonekana ni Wanaume....Wanaume wanaonekana hawapendi kuoa siku hizi,lakini kwanini wasioe...Why siku hizi na Sio zamani ambapo ilikuwa ni fahari kwa mwanaume kuoa...Miaka 20 mtu ameoa na Watoto juu...Ila siku hizi walaaaa...
Hata Wanaume hawakupenda,ila kuna sababu zimesababisha wasipende kuoa....Kuoa ni a very nice Feeling lakini kuna vitu Wanaume hawataki na ndo maana hawaoi....
Leo tuangalie SABABU 3 ambazo zinawafanya wanaume WAPOTEZE HAMU YA KUOA
1.1961 REASON...ITS ALL ABOUT UHURU
Tanzania ilipata uhuru mwaka 1961!
Hamna kitu Wanaume wanapenda kama UHURU
If una boyfriend,na unafanya mambo ya kumnyima uhuru,asilimia za huyo jamaa kukuoa ni 0.01%,Trust me!
Kama the best u can give ur man is Harassment....Questions kibaooooooo....Kumpangia ratiba zako ili yeye afit aache mambo yake,na kila siku unataka priority,SAHAU NDOA!
Ukikutana nae tu umekimbilia simu,huyu nani kakutext,mara huyu si nlishakukataza kuchat nae..Khaa!!
Uliza walioolewa walifaulu vipi huu mtihani,huu ni kama Mtihani wa Hesabu kwa Mwanafunzi wa Form 4,ukifaulu huu,umejiwekea hazina,trust me! Mpe mwanaume uhuru kwanza then ndo uongee mambo mengine,hapo mtasikilizana na hata ratiba zako zitafit kwenye uhuru wake,Dont try to put urself as the Most Important,ul loose! Akisema anaenda kuwatch mpira we unamwambia arudi home mwangalie movie,what the heck?Why movie na sio Football anayopenda???Sawa kuwatch movie sio dhambi lakini kwanini ugonganishe ratiba na unajua anapenda mpira?Hapa unampa definition kwamba unakuwa dominant na hakuna kitu kibaya na sumu kama wewe kujaribu kuwa Dominant,unajifanya Transformer..Dont be this kind of a Girl,He will end up being a Boyfriend,and He will never move a step ahead,akimove ujue Kibuti!
2.WANAWAKE MIMI-TYPE
Aina ya wanawake wanaojifikiria wao tu...Baby naomba mtaji wa Maembe..Baby naomba mtaji wa Mabungo...Baby nataka kuanzisha biashara ya Nguo na Vipodozi....Why cant you say baby,kutegemea mshahara sio vizuri kwanini TUSIANZISHE BIASHARA ambayo ITATUINGIZIA KIPATO EXTRA....Unaona utofauti????Collective statements..onyesha kwamba na yeye ni Inclusive.Sio MIMI this MIMI that....Be the kind of a Woman who gives an idea...Make sure he understands it...And ensure he takes it further and Control its implementation
Tangu uanze uhusiano wako na huyo Mwanaume umewahi kumshauri kitu gani ambacho siku akitaka kukumwaga atasema dah This girl did this Let me be considerate,Kipo kweli,halafu unataka ndoa????Sio idea za kununua Soksi na Boxer,Idea constructive ambazo zilichange maisha yake...HAKUNA! Sasa nani akuoe??
3. MWANAMKE DIVIDER
Aina hii ya Wanawake ni wale ambao wanaingia kwenye Maisha ya Mwanaume fulani halafu wanataka wawe kama MD hivi...Wamemkuta jamaa ana Marafiki zake,Mabesti kweli,wametoka mbali na huyo Mwanaume hujui wamemtoa wapi,wamemsaidiaje hadi hapo alipo....anaanza kutoa Opinions kuhusu hao watu...Fulani achana nae namuona kama hana lolote....Hivi Fulani anakusaidia nn...Halafu flani simpendi anaongea kweli...Hapo jua ushachemka....
Hamna vita ngumu kama vita ya kumchagulia Boy wako Marafiki na kujifanya HR una-screen uliowakuta eti wewe huwapendi...Huwezi shinda hiyo Vita I guarantee you,na ukiona umeishinda jua kuna kimeo mbele
Ukishinda hiyo vita na uhusiano wako utakuwa chali,unless huyo Mwanaume awe Bushoke type ambaye hana msimamo lakini siku zote ukipigana na Mashemeji ambao ni Close friends wa Jamaa YOU WILL LOOSE
When it comes to Men,Marafiki are more than Parents.They know kila kitu hadi ambavyo wazazi wake hawajui,na si ajabu hata uwepo wako kwenye maisha yake walichangia mawazo na kukuscreen kabla,na kumshauri akuchukue,lazima aliask opinion...Sasa umeingia unajifanya HR,wanaku-Ulimboka fasta utashangaa.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
hii pia ya kuchguliana marafiki nadhani ni pande zote mbili wapo pia wanaume wanaochagulia wapenzi wao marafiki. na hii mara nyingi inaleta ugomvi kwa pande zote mbili
ReplyDeleteSikuwahi kuamini kitu kama hiki kingeweza kunitokea hadi ndoa yangu ilipokaribia kuisha kabisa.
ReplyDeleteMume wangu alibadilika ghafla. Mwanaume ambaye hapo awali alinipenda na kunijali akawa baridi, asiyejali, na mwenye hasira bila sababu. Aliacha kuonyesha nia katika ndoa yetu, akaniepuka kabisa, na hatimaye akaniomba talaka. Nilivunjika moyo kwa sababu nilimpenda mume wangu kwa moyo wangu wote.
Mambo yalizidi kuwa mabaya aliponizuia kila mahali — WhatsApp, Facebook, Instagram — kana kwamba sijawahi kuwepo. Nililia kila usiku nikijiuliza nilifanya nini kibaya.
Siku moja, rafiki wa karibu alinitembelea na kunitambulisha kwa mtu wa kiroho anayeitwa Dkt. Dawn. Kwa kweli, mwanzoni nilikuwa na shaka, lakini niliamua kumweleza kila kitu kwa sababu sikuwa na chochote cha kupoteza.
Dkt. Dawn alinisomea mambo ya kiroho, na nilishtuka. Alifichua siri kuhusu ndoa yangu na maisha yangu binafsi ambayo hakuna mtu aliyejua. Kila kitu alichosema kilikuwa sahihi 100%. Kisha akafichua kwamba mwanamke mwingine alikuwa amemloga mume wangu. Mwanamke huyu alikuwa akimtembelea mara nyingi, na kwa upumbavu niliamini ilikuwa kuhusu kazi tu.
Dkt. Dawn alinisaidia kuvunja uchawi na akafanya ibada yenye nguvu ya kurejesha upendo kwa ndoa yangu.
Kwa mshangao wangu mkubwa, muda mfupi tu baadaye, mume wangu alinifungulia kizuizi mwenyewe na kuanza kunipigia simu na kunitumia ujumbe mwingi, akiniomba nimsamehe na nirudi nyumbani. Mwanzoni nilimpuuza kwa sababu ya maumivu aliyonisababishia, lakini hatimaye alirudi nyumbani akiwa na zawadi na machozi machoni mwake akiomba nafasi nyingine.
Leo, ndoa yetu ni imara zaidi, yenye furaha zaidi, na yenye amani zaidi kuliko hapo awali. Mapenzi kati yetu yanahisi upya kabisa.
Kana kwamba hiyo haitoshi, Dkt. Dawn baadaye alinisaidia na ibada ya ujauzito kwa sababu tulikuwa tumejitahidi kwa miaka mingi kupata watoto. Ndani ya wiki 8, nilipata mimba kiasili, na leo tumebarikiwa na wavulana wawili wazuri wenye afya njema.
Nitaendelea kushukuru milele.
Ukihitaji: Uchawi wa mapenzi wa kuungana tena na mpenzi wako wa zamani
. Usaidizi wa kurejesha ndoa
. Tamaduni za ujauzito za kupata mimba
. Usaidizi wa kiroho kwa kesi za mahakamani au kupona urithi
. Mwongozo na ulinzi wa kiroho
Ninapendekeza sana Dkt. Dawn. Ushuhuda wangu ni wa kweli, na furaha yangu leo ni uthibitisho. WhatsApp yake: +2349046229159
dawnacuna314@gmail.com