Thursday, May 24, 2012

KUJISINGIZIA BIKIRA SIO DILI..MWISHO WA SIKU NDOO YA MAJI ITAGUNDULIKA TU

Hivi kuna faida gani ya kuwa Muongo??

Kuna Uongo mwingine Wanawake mnasemaga mnakuwa kama mmepandwa wazimu...Unapata new Boyfriend halafu unamdanganya wewe ni Bikira,bila haya kabisa wakati huyo mtu ana taarifa za kiintelijensia kuhusu Ma-Ex wako takribani 15 na ushee na wote hawa walishapita jikoni kwako wakanywa supu ya kasa weeee bakuli mia8...

Leo tena umekuwa Bikra kwa uwezo wa roho ya Jini makata ama??Labda kama una bikira ya Kwapa..
Unamdanganya nani?kwa faida ya nani??Umuuzie nani Mbuzi guniani??
Unadhani ukisema hivyo ndo unajiongezea Point,maskini kumbe unajikaanga mwenyewe,upuuzi mtupu....

Bikira haiongezi point yeyote,labda enzi za Nyerere muache wehu huu...Mtu unasema bikira mtu anaoa fasta akijua freshh siku ya tukio utafikiri unaingiza mkono kwenye ndoo ya Maji...dadeki!

1 comment: