Thursday, May 24, 2012

REAL LOVE SIO MUONEKANO WA NJE...USIONE KAPENDA KITUKO,NDO AMEFIKA HAPO!


Real Love haihusiani na Mwonekano...

Real Love haihusiani na Material things...

Real love ni vile unavyojisikia kwa mtu fulani irrespective of his/her outer look,richness,poorness....Ila ukiwa naye you feel connected..you feel peace...you feel settled..

So, usishangae mtu kaolewa na kituko ukasema ni kipofu...hapana,amepata ile inner peace kwa huyo mtu...

Usione mkaka mzuri kaoa kitu cha Bibi ana sura ya Mjomba ukadhani labda amefuata pesa tu kwa huyo mtu...Huwezi jua,amani yake ya Moyo iko hapo...

Jiulize,Je, wewe uko na huyo mtu wako kwa sababu gani???

JE,amekufanya ujisikie amani na tulizo???au ni pesa zake??au ulizimika na hips zake??zikiisha je??utaendelea kumpenda???

Kama ulizimikia nywele,akinyoa kipara je??utampenda???

Kipimo cha Real Love kwa Mtu ni vile anavyojifanya wewe ujisikie Special,hata kama hamjala unafeel mmeshiba...thats real Love....

No comments:

Post a Comment