Tuesday, May 15, 2012

USIMKUMBUKE MUNGU UKIONA MAWIMBI,MKUMBUKE WAKATI UNAANZA SAFARI

Mara nyingi sana tunafanya makosa,tena makosa makubwa sana,tunajifanya wataalamu sana wa Mapenzi,tunaingia Mapenzini kichwakichwa bila kumshirikisha Mungu halafu tunategemea ndoa tamuuuu na zenye furaha..Yakibuma huko katikati ndo tunaanza,WHY ME LORD?LORD WHY DOING THIS TO ME DONT U KNOW I LOVE HIM??
 
wengine huenda mbaliii zaidi,mkiachana anatuma meseji za kukulaani,ooh Mungu atakulipa shenzi wewe...e mbwa koko mla mifupa hutapata wa kukupenda kama mimi kwani we nani?Kwani Moyo wako una AC??what goes around sijui ninii,misemo miingi..
 
.Ukianza Relationship na Mungu,atawatunza na kuwapitisha mapito yote,mkijifanya mna mahaba ya Burger za morocco mnajiendea tu kisa mna hamu msijifanye kumkumbuka Mungu wakati hamkumkaribisha aanze nanyi safari.Mungu sio gari la Fire,unampigia simu kisa kuna moto,Mungu ni kama Spare tyre ukidharau kulibeba utajua umuhimu wake ukipata Pancha porini...
 
.In everything you do,START WITH GOD,lasivyo yakikukumba usijifanye kumbeep,hatakuwa na vocha za kukupigia atakuwa bize anadance kiduku na Malaika wakeSee more

No comments:

Post a Comment