Tuesday, May 15, 2012

HUWEZI KUFUGA KUKU KWENYE MSITU WA NGUCHIRO...HUTAWEZA KUWA MFANYABIASHARA WA MAYAI

Uhusiano wowote unaoanzishwa baada ya watu wawili kutamaniana,aidha mtamanio wa Viungo vya mwili,au mtamanio wa Lifestyle na mali zinazooonekana,huishia kwenye maumivu..Umependa maisha mazuri na kazi aliyonayo kwanza kabla ya kumpenda yeye..wrong approach....Umemtamani Nywele zake,Muondoko wa kinyonga,Macho yake kama Taa za Bilicanas,au Mfumuko wa bei wa nyama za mwili wake kabla ya kumpenda yeye.....wrong approach...

.Many relationships are built in wrong platforms na ndo maana haziwezi ku-survive Tsunami na Tornado zikiwapiga on their way to Glory...Mahaba mengine yanaangushwa hata na Unyoya tu,unashangaa what happened.Na hii ndio tofauti kwanini wewe haudumu kwenye Mapenzi unashangaa wenzio wameweza vipi kukaa pamoja na Vimeo kibao kutokea.Waza Upya..

Huwezi kufuga Kuku kwenye Pori la Nguchiro ukategemea kuwa mfanyabiashara mkubwa wa Mayai....

No comments:

Post a Comment