Tuesday, January 15, 2013

KAMA WEWE NI AINA HII YA MWANAMKE,YOUR BOYFRIEND MUST CHEAT NA USIMLAUMU

Girls....You run this World right???Run it with your Brain!

Wanawake wamekuwa Mabingwa sana wa kulaumu Wanaume kwanini wanacheat sana..Na wanaamini kwamba Wanaume hawana Reason ya Kucheat maana wao wanadhani wamefanya yoteeee,sasa kwanini jamaa acheat??

Leo naleta kwenu Aina ya Wanawake ambao wao wenyewe kwa hiari,wanafanya mambo ambayo ni Greenlight kwa Mwanaume kucheat...

MASHARTI KIBAO KAMA FOMU YA MKOPO

Hawa wanawake wana misimamo yao ambayo sijui wamefundishwa na Ngariba wa Loliondo au lah...Inapokuja suala la Bed Business,UTACHOKA! Kungfu si Kungfu...Taekwondo Si Taekwondo...Sarakasi si Sarakasi,ilimradi kero....Hataki umguse hiki...ukimgusa kile hataki,ye anataka kipondo alale....Mapenzi ni sanaa...Mapenzi ni Sayansi...Mapenzi ni maelewano ya wewe na yeye,anapenda nini,unapenda nini,maadam haombi kubadili Channel kutoka BBC kwenda Deutche Welle(Kula Tigo) sioni kitu ambacho ni kibaya kitandani...

Sasa utaambiwa Mate ni Uchafu....Ukimshika nanihii ili umuandae awe Wet vizuri(na hii ni recommended kiafya kuepuka Unnecessary Friction wakati wa tendo), HATAKI,eti sijazoea kushikwa huko,,,Sasa ushikwe Pua au???

Hataki kunyonywa(japo raha ni ya kwake)...Hataki kunyonya(BJ) eti ni uzungu na uchafu....Sasa ndugu zangu,haya ni Mapenzi au wazimu???Yaani nikurupuke tu,bila Maandalizi,bila kujua you are wet enough or not,nakurukia kama nadandia Bajaj...kweli???

Sasa Mwanaume huyu akikamatwa na kitoto kinachojua umuhimu wa Maandalizi,kikampa makamuzi,Mmeo/Boyfriend anakalishwa chali kama anasubiri Oparesheni ya Appendix,anashughulikiwa,akija kupewa mzigo You think huyu Mwanaume atakuwa na time na wewe???Muwe mnawaza...

Mapenzi sio Biashara ya Usafi,kama unadhani Mahaba yana usafi umekosea njia,hakuna Biashara ya Uchafu kama Mapenzi,ila Uchafu wenye raha...

Ukiwa penzini huna tofauti na Chizi,akifika jalalani hachambui hiki nini na kile nini...Maadam kinalika basi ndo anaponea hapo...

Kama Mapenzi yako yana masharti kama Dokta Manyaunyau,tafadhali tafuta biashara nyingine ya kufanya,hii ushafeli...

WAZEE WA MUDA

Hawa ni mabingwa wa kuhesabu dakika....Utasikia humalizi tu....Jamani nusu saa bado upo tu huchoki....We mwanaume robo saa si tayari unanikomoa??Nani akukomoe wewe!!
We Mwanaume hiyo ndo style gani....
Nani kakufundisha hii mbona hatujawahi kufanya.....

Sasa haya Mapenzi au Interview???

Yaani muda wote mnapepeta ye anauliza maswali tu kama OCD wa Polisi Mabatini,sasa raha utasikia saa ngapi???Mwanaume anajipinda ili akufikishe wewe umekazana na Questionnaire yako....Mara kidogo filimbi hiyo.....utasikia Maliza bwana mi nimechoka..Yaani kauliza maswali weeeeeee,halafu anakwambia Maliza....Dah,ukute we ndo kwanza uko Chalinze,unaambiwa maliza,sasa sijui utafika Ubungo Stendi na Ungo....Kwakweli,kama uko hivi,sishangai Mmeo akicheat,kosa ni lako mwenyewe!

WANAWAKE MMENISIKIA????MASHARTI ZIACHIE FOMU ZA MKOPO WA BENKI

7 comments:

 1. hahahahhahahahhahahha aiseeee umeua kijana......hahhahahhahahhahahahhahahahhahahahhahahahhahah nice one

  ReplyDelete
 2. Kinda shallow. Anyway, was looking for something different and articulate lakini sikuiona katika post yako. The topic is clear but the reasons hazijashiba. My opinion (so that you can be better tommorrow) usilewe na zile 'thumbs up' kule FB, ila take note ya criticism hizi. I should ask you, ulipokua unaandika uli-target audience ya aina gani? I as I see it, wale wanaojiheshimu na walio ndoani would see your reasons a little bit unorthodox. Pia, kama majority wa wale pale fb wanakushangilia na kukusifia kuwa your reasons have substance in them, then I fear the society has a lot to learn in the area of relationships and sex

  ReplyDelete
 3. WE MDAU HAPO JUU UNA MATATIZO MAKUBA SANA TU,
  alichosema hapo asilimia kubwa ni kweliiii kabisa yaani hajakosea, we imekuuma upo miongoni mwa watajwa nini??hahahhahahhahahah pole yako

  ReplyDelete
 4. the guy was critically deep in social issues, nimemkubali anasaikolojia zuri ya kujua bila kuona, well done mr.

  ReplyDelete
 5. Kunavingine vingi umevisahau kwa wanawake

  ReplyDelete
 6. INASHANGAZA SANA MTU KUANZA KUONGELEA ORTHODOX VIEWS NA UNORTHODOX...KAMA HAIJAKUFAA WEWE MMOJA,IMEWAFAA 100 USIOWAJUA..I WILL DO MY THING ALWAYS,KAMA HAYA HAYAKUFAI WAACHIE WENGINE...THUMBS UP,YES,BUT NILIPOANZA UNAJUA NIMEPATA SHIDA GANI MPAKA KUPATA HIZO THUMBS UP???KAMA NI RAHISI ANZA CHA KWAKO ORTHODOX TUONE JINSI ULIVYO MKALI ZAIDI...IM USED TO THESE KIND OF SELFISH CRITISIMS WHICH ARE FULL OF HATRED AND JEALOUSY....GOD WILL LEAD ME,ASANTE NA KARIBU TENA

  ReplyDelete
 7. sasa unalia nini, ppl are free to write anything they feel its right to write, pokea critics kama mwanaume weweeee.....u knew this was coming deal with it.

  ReplyDelete