Thursday, May 17, 2012

THE 3 SCENARIOS OF CHEATING:CHOOSE YOURS

Watu wengi wanajaribu kukimbia kivuli chao wenyewe,ila ukweli utabakia palepale...Cheating ziko za aina 3

SCENARIO 1
Ukicheat na mtu mara moja tu,na ukaacha kurudia tena,inamaanisha your current partner is better of,kuliko the person uliyecheat nae....Na umegundua hilo baada ya kutest the taste...

SCENARIO 2
Ukiona umecheat,na unaendelea kucheat na huyo mtu,kwa muda mrefu,jua huyo mtu amemzidi partner wako..

Ingawa hauko tayari kuachana na Partner wako kutokana na penzi la wizi lililokunogea,lakini ukipimwa,kwenye Love meter, mtu unayecheat nae una mapenzi makubwa kwake kuliko your partner...

SCENARIO 3
Wale mnaocheat na watu zaidi ya mmoja,mioyo yenu imekaribia kufa,maana sio tu kupenda tena,bali mioyo yenu inavuja mapenzi,lolote laweza kutokea kwa mtu yeyote...Watu wa design hii,hata wakifunga ndoa,wanafanya hivyo kama mazoea tu na kufurahisha watu lakini ukweli ni kwamba hawamaanishi kuwa kwenye ndoa vile ambavyo ilitakiwa kuwa kimpango wa Mungu,Mtu mmoja mwanamume kwa Mtu mmoja mwanamke,inabaki fashion tu...

Kwa upande wa Relationship, watu wa design hii wako kwenye Relationship kwa sababu tu hawawezi kukaa Single,Partner anabakia kama Quasi,ni jina tu,kwamba huyu ni partner wako,lakini unatumikia watu wengi kwa wakati mmoja na hata ukicheat haikuumi kwamba kuna Partner umemsaliti,kwako 1 na 2 zote ni namba zinazofanana...

Je, wewe uko kwenye Scenario ipi?Jibu unalo

3 comments:

  1. please weka option ya ku share post zako pls.mie ndo msheaji namba moja. much love

    ReplyDelete
  2. pasychaziah,nitafanya hivyo mumie

    ReplyDelete