Tuesday, June 19, 2012

STORI KAMILI YA MWANAFUNZI WA SAUT ALIYEPOTEA BAADA YA RAFIKI YAKE WANAYEKAA ROOM 1 KUNITAFUTA LEO KUHADITHIA TUKIO ZIMA MWANZO MWISHO

Nimepata Fresh update mchana huu baada ya rafiki wa karibu wa Msichana huyu aliyepotea kunizamia hewani na kunipa mchapo mzima wa issue hii inayosisimua...


Stori ya jana iliishia kwa jamaa kumuita Msichana Hotelini ili waonane kwa mara ya kwanza na kucheza mechi matata....TUENDELEE


Alipo fika hotelini mshkaji alimuelekeza chumba alichopo akaenda akamkuta kalala, jamaa hakuamka kumkaribisha ,hamna cha waooooooo wala Hug... akasema njoo kitandani tu mimi nimechoka na uchovu wa safari

Basi Shosti akasema basi na mimi ngoja nioge ndo nije hapo kitandani si unajua kujiandaa na mechi tenaAkavua nguo akaingia bafuni kupiga ma-shower...Wakati anatoka bafuni akamkuta jamaa kasimama,hayuko tena Kitandani...Halafu yuko uchi...Sehemu ya chini ya kitovu kuja kwenye eneo la tukio kuna kama Funza hivi wanatembea lakini hawaanguki chini...Akataka kukimbia akamwambia ukikimbia tu unakufa, unataka kwenda wapi zile hela ulizokuwa unakula unadhani zilikuwa zinatoka wapi...Stori ni kwamba jamaa alikuwa anatuma mkwanja zaidi ya Laki3 kila mwezi kwa mtoto wa kike...Muda wa kuzilipia sasaaaaAkamwambia haya panda kitandani unipe mambo mie...Demu kusikia kufa akawa hana jinsi akapanda kitandani jamaa alivyosimika tu mzizi demu kama aka-pass out anakuja kushtuka kumekucha, haelewi nini kimetokea baada ya lile tendo...Asubuhi ameamka anamuona jamaa kalala.....akikumbuka alicho kiona na wale funza  na anavyo ona asubuhi hii ni tofauti... Mwanaume akawa wa kawaida kama anavyomuona Facebook,Handsome fresh tuu akaamka,akaoga freshi akamuaga mie naenda chuo basi ntakuja badae, akasepa


Basi kufika chuo hakutaka kuwaambia wenzie ukweli kwamba kapelekewa mjeledi na jamaa ameoza...Akauchuna akawaambia wenzie ameonana nae mshkaji...Ghafla akabanwa mkojo,kwenda chooni kukojoa anaona wale Funza kama jamaa kuleeeee....


Ikawa soo,ikabidi tu sasa aseme ukweli ili asaidiwe...Wenzie wakampeleka Dispensari ili asaidiwe...Kule akachomwa sindano lakini hali ikazidi kuwa mbaya ikabidi wale manesi wamshauri tu apelekwe Bugando Hospital wacheki zaidi tatizo.


Njiani kuelekea Bugando ndipo mazingaombwe yakatokea na demu akapotea ghafla...


Wale mashosti kwa kuwa walikuwa na namba za yule SHEMEJI JINI wakampigia simu ili kumuuliza kulikoni....Jamaa akasema WALA SIO YEYE NA HUYO ALIYEKUJA MWANZA HAMJUI....


MPAKA HABARI HII INAPOANDIKWA DADA HUYO HAJAPATIKANA15 comments:

 1. badili rang hayo maandish weka meuc yanaumiza macho

  ReplyDelete
 2. mpaka ikutokee ndio utajua kama ni cooked story au lah...this is real my friends

  ReplyDelete
 3. sawa nimebadili,sorry for that kaka anonymous

  ReplyDelete
 4. du hii ni balaa jamani hizi tamaa zinaponza wengi, tatizo watu haawridhiki na kidogo vitu vikubwa vinapoteza watu wengi sana hasa wasichana. hili ni funzo tosha kabisa na bora kuridhika kwa kidogo ulichanacho sababu kama Mungu kakupangia kukupa kikubwa zamu yako ikifika utapata tu................tamaa mbaya sana

  ReplyDelete
 5. Hii ni cooked story and only a fool will agree to it, ya not a journalist ndo maana unatuwekea here says kwa vile principals za uandishi huzijui, tunakusamehe kwa hilo!

  ReplyDelete
 6. tupe jina la huyo dada ili tuamini

  ReplyDelete
 7. duhh utumbo umeniruka aisee

  ReplyDelete
 8. anonymous fungua blog yako na ww tuwe tunaona unavyoviandika...kama wajua sana kujiblog..hujaulizwaaaa

  ndimi anonymous mtata na 2

  ReplyDelete
 9. Dah! Hzi tamaa znawaponza wadada. Tatizo ni kwamba wanapenda mteremko kwenye maisha.

  ReplyDelete
 10. eti cooked story umetumwa usome au uamini ptuuuuu

  ReplyDelete
 11. Hata kama ni c00ked stry bt inamafundish0 ndani yake s0 kama umepevuka akili utatake acti0n ila ukiwa mbwiga nd0 utaanza kujudge na kujua ukweli wa stry

  ReplyDelete
 12. mungu tunusuru na hili,ingawa tamaa zili mponza lakini ni darasa kwa waliobaki na wako katika matumizi ya mitandao ya kijamii,kapoteza pesa za wazazi,ewe mwenzangu jiulize mpaka sasa yuko wapi na anafanya nini?

  ReplyDelete
 13. Duh! sio mbaya.

  ReplyDelete
 14. kuna ukwel hapa coz story ni kibao hapa chuo!

  ReplyDelete