Tuesday, May 15, 2012

SI KILA MPOLE NI ROMANTIC,WENGINE NI MITUNGI YA GESI

Ni afadhali uwe kwenye relationship na mtu kichaa na unajua ni kichaa,utajua jinsi ya kukipenda kichaa chake na kumcontrol ili kichaa chake kiwe cha kimahaba.
 
Kuliko kuwa kwenye relationship na mtu ambaye anaonekana mzima,mtulivu,na mpole kumbe ana kichaa cha kimyakimya,kiko ndani kwa ndani kama mbegu ya Fenesi,kinalipuka lipuka ghafla kama jiko la gesi ya Oryx,maana huwezi kujua kitalipuka saa ngapi na kuunguza nyumba.
 
Si kila mtu anayeonekana mpole,mtulivu,kama zoba,ni mzima na romantic,wengine ni Oryx Gas,ikilipuka umekwisha!

1 comment:

  1. sana tu,tena kuna wale wenzangu na mm utasikia bia situmii wala sipendi mambo ya disko kumbe kando anafanya kama dunia kwishney..ni vyema kua for real na sio ku pretend....asante

    ReplyDelete