Tuesday, May 15, 2012

UZURI WA KITABU SIO COVER,NI CONTENT

Uzuri na utamu wa Kitabu sio gamba/cover page,ni content iliyomo ndani na maudhui yaliyoandikwa humo,Cover yaweza kuwa well decorated kwa rangi na nakshi na darizo za kuvutia macho ila Content yote ni udaku...Kama Cover ingekuwa ni kila kitu basi gazeti la Ijumaa wikienda lingekuwa linatumika kufundishia Physics Form Six wajibie NECTA...

Ukitafuta mwenzi wa maisha,awe mpenzi/mme/mke,chonde achana ...na Cover Page,tumia muda kusoma ndani yake ujue Content...Ukikurupuka utakumbana na Cover nzuri sana, well-decorated na Carolite ila vimeo,utakumbana na Handsome kanyoa O kubwa na kunukia Gucci lakini kumbe mchele(shoga)

Chunguza kitabu ulichonacho,kina content?Au cover zuri ndani udaku??Jumanne njema sana kwenu Vitabu wote mlio kwenye Kitabu cha Uso(facebook)...

No comments:

Post a Comment