Tuesday, May 15, 2012

RAINFALL LOVE

''Ngriiiii Ngriiiiii Ngriiii'

Hallow Baby..za kwako? Baby Kama kweli unanipenda naomba unifuate huku gongo La Mboto,naogopa kulowesha nywele zangu na mvua,nimetoka Salon jana tu halafu nimevaa high heels ntachafua kwenye daladala ai weweeee Bebiiiiiii,mmwaaahhhhhhh...mtoto wa kiume unapigwa na busu juu unaingia sheli kujipiga expense ambayo hata hukuiplan..

Rainfall Love.......leo utapendwa utapew...a hadi massage,jua likiwaka tu na expiry date yako itawadia kama Maziwa mtindi..

Mapenzi ya Bongo hayo..Kuna watu mshapigiwa,hata mkikataa,tena bora mtu aniambie anaogopa Tsunami itamkuta,yaani anaogopa nywele zitaloa mvua eti na high heels..

.Utasubiri hapo Gongo La mboto hadi uote vigimbi,kama nywele mali sana kuliko uhai ni afadhali unyoe kipara kama Flaviana Matata tu

2 comments:

  1. OH SETH, IM LOVING THIS BLOG, BUT HOW DO WE SEND YOU MSG FOR USHAURI WA MAPENZI

    ReplyDelete
  2. duuuuh!!mambo ya kuota vigimbi tena......hahahahaaaa

    ReplyDelete