Wednesday, May 23, 2012

THE BAGAMOYO CAMP-PWP SEASON 3...DONT MISS THIS WEEKEND(26TH-27TH MAY) USIPIME

Kwa mara nyingine tena,PWP Entertainment inakuletea PWP season III..

Baada ya Camping 2 zenye mafanikio sana kule Pugu Hills Campsite Mwezi January na March,this time its time,kwenda kula kipupwe BAGAMOYO!

Ifanye Weekend yako ya Tarehe 26 na 27 May, 2012, iwe ya tofauti sana....

Tunafanya yale ambayo hakuna yeyote amefanya, and We doubt kama kuna mtu anaweza jaribu kufanya.....Kila Senti yako unayotoa utaifaidi,na zaidi...

Kwa Shilingi za Kitanzania 70,000 (Elfu Sabini Tu) tunakupa vitu vifuatavyo,AMINI USIAMINI:

1. Usafiri wa Kwenda Bagamoyo na Kurudi BURE

2. Drinks UNLIMITED,kunywa mpaka uvimbiwe kwa siku zote 2 BURE

3. Msosi kwa Siku 2,Kuku wa kutosha,Mbuzi,Ng'ombe,na kila nyama unayoijua BURE na tutakuwa na jiko Special la kuchomea aina hizi za Nyama palepale...Imagine..

4.Accomodation (Huduma ya kulala) tunakupatia BURE

5.Swimming Pool +Huduma ya kufundishwa wale wasiojua kuogelea BURE

5. Kutembelea Maeneo ya kumbukumbu kule Bagamoyo BURE

Tutakuwa na Michezo mbalimbali kama Beach Soccer, Kuvuta Kamba,Mashindano ya Dancing pamoja na Circle Sharing na Professional Experience sharing kutoka kwa Washiriki wote...

Vitu vyote hivi ni BURE kwa hela uliyolipia...What else can you dream for??

THIS HAS BEEN YOUR DREAM TRIP...DONT YOU DARE MISS THIS

FOR BOOKING PLEASE CALL 0786 670257/0713 832813

No comments:

Post a Comment