Tuesday, May 22, 2012

ACHANA NA MAPENZI YA ATM NA WALLET

Mapenzi sio kama ATM,unakimbilia pale ukiishiwa tu ili ujaze mfuko wako then basi...

Mapenzi yanapaswa kuwa kama duka la kufanya Shopping....Unakwenda na wallet iliyojaa Hela,unakutana na Mangi mwenye Duka...Unachagua bidhaa unazotaka,na unalipa Hela upate Nguo...

Mapenzi ni tit for Tat Business....Love is Giving and receiving....Ni kama Transaction...Ndio,Mapenzi ni Muamala ni lazima ukamilike

Mapenzi ni Give and Get na sio Receive Only...Ukiona kwenye Mapenzi wewe unatoa tuuuu kama ATM bila kupokea kitu ujue hilo sio Penzi...

Na ukiona kwenye Mapenzi unapokea tuuuuu kama Wallet...jua hilo sio Penzi sahihi

Toa Penzi Sahihi na Upokee mahaba Sahihi,Love is a two-way Traffic Transaction from a lover to a Lover, and not otherwise

2 comments: