Monday, May 28, 2012

SAJUKI APATA NAFUU INDIA,ANAONGEA NA KULA SASA

Hali ya Msanii Sajuki  ambaye alipelekwa India akiwa kwenye kiti cha wagonjwa,na kushindwa hata kupunga mkono na kuongea akiwa Airport,imetengemeaa kiasi...

Sasa Sajuki anaweza kukaa,kuongea na kula..

Picha yake recent ni kama inavyoonekana hapa chini...Mungu ni mkubwa na tuendelee kyumuombea inshallah atarudi na tutafurahi tukimuona akiendeleza gurudumu la Filamu Tanzania....Asante Mungu kwa uponyaji huu.AMEN

1 comment: