Monday, May 28, 2012

NSA-No Stress Allowed Season 3 @ Bagamoyo...

Tumeamua kuambukiza watu upako wa kuwa na furaha muda wote...

Haturuhusu mtu yeyote kukosa furaha,at any time...we have created this event,makusudi kupambana na adui anaitwa STRESS....as long as Mungu amekupa uhai na unaishi,unatakiwa kuwa na furaha na Raha muda wote, and this is it...

Weekend hii ya tarehe 26 na 27,tukajibeba hadi Pwani ya Ufukwe wa bahari ya Hindi,pande za Bagamoyo..tukasahau shida zote...Tukaongea...Tukabwaga Mioyo yetu...Tukajifunza mengi sana kwa masaa mengi sana...Tukafurahi....Na tukarejea tukiwa watu wapya....na Furaha tele.

GET READY,tukio linalofuata litatukia tarehe 28 na 29 July, usiplan kukosa kabisaaaaaaaaa

Baada ya Camp 2 za mafanikio na shangwe kwenye Pori na Uwanda tulivu wa Pugu Hills, The Pugu Hills Magic,safari hii Bagamoyo ilitutendea haki sanaaaaaa...

Picha za Shangwe na Matukio ndo hizi hapa chini.....


CHADEMA TULIKUWEPODAVIE,OUR ESTEEMED GUEST ALL THE WAY FROM ATLANTA, GEORGIA FOR THE CAMP...OOH YEAH


MIMI NA MOUNTAIN DEW,MNISAHAU TU

DAVID NDAIGA WEAR ILIWAKILISHWA VEMA NA DORICIOUS CINYORITA

TUKAPAMBANA KIDUKU

SHOW LOVE,JOSEPH,EVE,AND KATAZA

DAVIE,BABY,TINA,SAJO AND JP

6 USIKU TUNAGONGA VYUKU TU HATUNA HABARI

THATS THE POOL VIEW

HAPA NDO TUMEFIKA SWIMMING,TUKALA POSE HAPO,MI NIKALALA KABISAAAAAA


COOKING TIME,WIFE MATERIAL WAKIWA KAZINI,TINA,TUSEKILE,ATUPULIKE AND EVELINE...MKO VIZURI SANA GIRLS

MPANGO MZIMA...CHEKI SWIMMING HIYOO

SAA 9 USIKU HIYO,NI PICHA TUU

 ZEE LA KICHAGA,EVE,NA ABRAHAMCHIEF POLITE KAMETTA AKIWAZA ATAKAVYOZAMA KWENYE SWIMMING POOL

ATU,ME,KATAZA,KULA GUDI TAIMUU

CHEZA OLIVA TWIST HAPOOO

MISOSI YA ASUBUHI KABLA YA SWIMMING


 JAMANI MNANIONEA MZIGO WOTE HUU..NI KAMA NILKUWA NALALAMIKA FLANI HIVI
 HUSBAND MATERIALS....POLITE,SETH,JP,AND DAVIE
 HAPPY HAPPY MOMENTS EVER SEEN
 MUDA WA KUBWAGA MOYO UKAFIKA...NO STRESS ALLOWED
 HUSBAND MATERIAL JP AKISAIDIA KUBEBA MIZIGO,SALUTE KWAKO MKUU
MAMA USHAURI,EVELINE
 MISOSI KIBWENAAAAA KWA AFYA
 MJUKUU WA KINGWENDU SA 10 USIKU,HAHAHAHA JP ULITISHA SANA
 CHIEF COOK WETU AKIPIKA VYUKU WA UKWEE
 SEE FOR URSELF,BAHARI INAPULIZA SAA8 USIKU,MNATAFUNA TUUU
 MAMA LAO,EVE
 NIKAWAONYESHA ILE SHAMUKWALE INAVYOPIGWA
 JP AKAJARIBU KUSHINDANA,MCHAGA NA KUCHEZA WAPI NA WAPIII
 KIDUKU BIN KIBEGA,YEBAAAAHH
 ENGINEER WA PWP CAMP AKIGONGA VYUKU
 DORICIOUS,JP NA LUSAJO WAKIPOSE
 ANHAAAA,ONGEZA KUKU HAPAAAAA

 SALOON IKAFUNGULIWA UFUKWENI

 MAMAA TUSEKILE AKITUPIGA STORI NYOKA
 JP ULIAMKA VIZURI SANA WEEKEND HII,FULL VITUKO
 POLITE NA ATU WAKIFUKUZA USINGIZI 11 ALFAJIRI,CHEZEA KIPUPWE

 THE MAN FROM ATLANTA ANASINZIA,10 USIKU,INATAKA MOYO,BABY NAJMA PEMBENI
 MADIKODIKO MANJALI MAPOKOPOKO
WAO WANAKULA MI BADO NASWING TU

GONGA SANA VYUKU AISEE


TINNA NA JP,KUKU TYME

HAPANA CHEZEA BARIDI LA SAA 10,MASHUKA NA VIKOI MUHIMU

MAMAA TUSEKILE MWAKYEMBE,MAWAZO YA FUNGUO HAPO!

MZEE WA VIANDE...LUSAJO

WE JP UNAMDANGANYA NANI SA 9 USIKU

BABA PAROKO POLITE
 CNYORITA DORICIOUS
 WAKUU WA KAYA,ME AND KATAZA TUKIMSIKILIZA MTOA MADA
 KATAZA NA EVE WAKIWA MAKINI KUSIKILIZA HOJA

1 comment:

  1. haya bwana,ila siku mjipange mje mwanza eti enheee mtajutaaaa

    ReplyDelete