Tuesday, May 29, 2012

KWA WALE WANAUME SELFISH,KUCHEUA DAKIKA 5 MWIKO

Mapenzi ni tofauti sana na Football.Najua wanaume wengi tunapenda Football,inatuharibu sana..Maana kwenye Football watu wanahangaika,mikiki mikiki,vikumbo,rafu ilimradi wapate magoli mengi washinde mechi,wafurahi...Mapenzi ni tofauti kabisa,makeke yawepo ila sio kwenye kukimbilia golini kucheka na nyavu...Hayahitaji wewe kukimbia wee,kupiga supu ya Pweza na bamia mbichi ili ukako...moe uwanjani...Mwanamke hahitaji maraundi yako kibaooo utadhani mko kwenye Cricket,anahitaji yeye kufunga,concentrate kumuwezesha..wanawake wakiwezeshwa wanaweza,lakini wengi tumekuwa tunajiwezesha wenyewe.

..Tunaharibu!

Kwanza wewe its guaranteed,utafunga tu penati mwisho wa mechi,unakimbilia wapi??Tulia, muwezeshe mama apige danadana,mpe afunge hadi aseme puliza filimbi!kwa vyovyote wewe utafunga la kwako mwishoni tu,sasa kimuhemuhe cha nini kucheua uji wa ulezi kwa dakika 5?

1 comment: