Tuesday, May 29, 2012

SOME BROKEN HEARTS NEVER MEND....IKIVUNJIKA YA KIOO TAFUTA KIKOMBE CHA PLASTIKI KWA MUDA

Wakati mwingine Relationship zetu ni kama Glasi ya bei mbaya sana,iliyoanguka kutoka ghorofani,unaipenda sana maana umekuwa ukiitunza kwa uangalifu,na uliinunua kwa gharama..

Lakini...Glasi hii imeanguka na imesagika vipande,kujaribu kuviokota vipande hivi unajikuta unakatwa na vipande vya hiyo glasi,mwili mzima unachuruzika damu kwa Maumivu...

Sometimes,inapaswa tu ukubaliane na matokeao kwamba Glasi hiyo haiwezi kutumika tena zaidi ya kukukata tu...

Tafuta angalau Kikombe cha Plastiki kwa muda,huku ukitafuta Glasi nyingine ya thamani kureplace ile old one...

Some of our Broken hearts will never mend....

2 comments:

  1. NIMEIPENDA HIYO. HALAFU USER WA BLOG HII MBONA CONTACT ZIPO HAZIPO? MWENYE KUJUA ANIJUZE PLEASE

    ReplyDelete
  2. nimeipenda sana hiii, keep it up

    ReplyDelete