Sunday, June 3, 2012

MWANAMKE ANA MAJIRA YA MWAKA...ANA MASIKA,KIANGAZI,BARIDI,

Ukilifahamu hili litakusaidia...Si ajabu hata wao hawajui,lakini kuna wachache wanajijua..

Wanawake wana kipindi cha Masika...Wanapitia kiangazi....Wanapitia majira kama Majira ya Mwaka ya kawaida duniani yalivyogawanyika..

Usikurupuke kukutana na Mwanamke kipindi cha kiangazi halafu ghafla Masika umemuoa...Bila hata kujua akiwa kwenye Winter huwa anabehave vipi...

Umeshawahi kuona ndoa zinadumu miezi 6 tu??usiwashangae wala,sio kwamba nyonyo zake zinahamia utosini,ila baada ya miezi kadhaa kupita utaexperience aina flani ya Majira ambayo hukuwahi kukaa na kumuona akipitia kipindi kile kwa ku-rush kwako,na hutajua jinsi ya kumcontrol kwa sababu hukuwahi kujua how to control her...

Ndio maana wanasaikolojia huwa wanashauri wapenzi kukaa zaidi ya Mwaka kwenye Uhusiano kabla ya kuoana...Hakuna siri nyingine...Wanataka umjue mwanamke huyo akiwa kwenye Majira yote ya Mwaka...Unaweza kumhandle Masika na Kiangazi lakini Winter Season ikakushinda completely...Sasa ukimrukia na ndoa kipindi cha Masika,jua Winter litakukuta uko nae ndani na kila ktu kitakuwa kigeni kanakwamba sio huyo Mwanamke unayemjua wewe.

Ni kweli ndoa ni tamu lakini chukua muda kumjua huyo mke utakayemuoa,Usikutane nae January ukadhani tabia za January zinafanana miezi yote,ukimuoa May utashangazwa na tabia za Mwezi August..

Ni chaguo lako kuamini hili nikwambialo au kuamini otherwise BUT my fellow Men,DO NOT RUSH!

1 comment:

  1. YES UR RIGHT COUZ AM ALSO A LADY WHAT U HAVE SAID ITS TRUE WE JUST CHANGE EVERYDAY THATS THE WAY WE AR DON'T COMPLEIN MUCH

    ReplyDelete