Tuesday, May 15, 2012

FALLING IN LOVE NI SAWA LAKINI KUSIMAMA INAWEZEKANA,STOP CRYING AND MOVE ON

Kuteleza sio kuanguka,unaweza ukayumba tu kidogo kisha ukasimama dede...
Na kuanguka pia sio mwisho wa safari....

Kuanguka si ndo kufall?? Kwahiyo Falling in Love haimaanishi kwamba huwezi kuendelea na safari..Ukiona Umefall in love na kuangukia Sponji basi vuta shuka lala,ila ukifall in love ukaangukia changarawe zimechongoka usibaki chini utaumia,jifute vumbi then amka,endelea na safari hadi upa...te Sponji...
Utanishangaza ukisema huwezi kumsahau aliyekutenda kisa Umefall...Kuna option ya kujifuta vumbi na kuamka,na safari iendelee...Kufall ni ruksa,na kuamka pia ni ruksa...Acha kulialia,bakiza machozi kwa watu muhimu tu,wengine wala hawastahili machozi yako ni Vimeo tu unavipa kichwa sana vikigundua ulitoa chozi kwa ajili yake,they dont worthy your tears...MEN and WOMEN,please Wake up!

No comments:

Post a Comment