Sunday, May 20, 2012

MAPENZI YA FACEBOOK NI FULL USANII

Usione mtu ameandika In a Relationship au Engaged, au Married  Facebook ukadhani anamaanisha,WALAAAAAAA!!

Ni fasheni tu siku hizi.Watu wameandika engaged lakini walaaa hawana habari,mali za watu zinaliwa kuliko Kutu inavyokula chuma.

Kama unadhani kwa kukuandika jina lako pale Ubaoni wewe ndo mteule pekee uliyechaguliwa,unajihisi mfalme daudiiii,unajiona Malkia Cleopatraaaa mwenyewe, naomba Uamke kutoka usingizi mzito uliolala,hicho ni moja ya kichaka kibaya sana kupumbaza watu...

Watu wako engaged lakini wanapepea kuliko upepo wa Coco Beach.

No comments:

Post a Comment