Sunday, May 20, 2012

HAKUNA MIMBA YA BAHATI MBAYA..STOP ABORTION,LOVE THE BABY THAT U CREATED KWA RAHA,KELELE,NA STAREHE ZOTE KITANDANI

Kama una mpango wa kutoa mimba kesho tafadhali usifanye Mapenzi leo

...Haina excuse..

.Kama unaogopa wazazi wako ungewakumbuka kabla hujafanya,kama unajua ni mwanafunzi badala ya kufanya ungekuwa Library unasoma...

Every Debit entry must have a corresponding Credit transaction,haina shortcut....

.Am proud to all Women who know how to do it and keep it,kiumbe unayemuua hana makosa,makosa ni wewe kufanya upumbavu huku huna ujasiri wa kutetea upumbavu wako...am done!

1 comment: