Sunday, May 20, 2012

MSHAZAA WATOTO WAWILI MNATUCHANGISHA MICHANGO YA KUBARIKI NDOA,NANI KASEMA??

Hivi kuna faida gani kufunga ndoa?

Ushafanya tendo la ndoa weeee kabla ya ndoa yenyewe,umeshazaa watoto wawili na huyo mtu,halafu unatuchangisha michango ya kubariki ndoa?

Ndoa ipi unayobariki?

Na nani akubariki?

Na baraka za aina gani?

Mungu huyuhuyu uliyejifanya kumpiga chenga kama Messi,umem-poke Mungu weee leo ndo akubariki?hebu mnitue,sichangii ng'oo,nendeni mkajibariki wenyewe!

1 comment:

  1. Mimi nina mtoto mmoja,vp naruhusiwa kuchangishaaaa...lol,seth una madongo banaaaa..

    ReplyDelete