Monday, May 21, 2012

WANAUME JIFUNZENI SANAA YA MAPENZI,MSITIE SHOMBO WANAWAKE

Waraka huu wa Mtume Seth kwa Wanaume wote mjini na vijijini..Popote ulipo pokea salamu hizi...Wanaume wengi mmezidi kuwa Selfish..

Selfish kiasi kwamba kuna Wanawake wanayaona Mapenzi kama Kituo cha Polisi Mabatini..Tangu waingie Ulimwengu huo,wanasikiaga tu kwa wenzao kwamba Mapenzi ni matamu lakini kwako ni kero tupu..

 Hamtimizi wajibu wenu,mnajifikiria nyie tu mkiwa uwanjani,mikiki mingi,chenga,rafu,mkimaliza basiiiii,hutaki kujua mwenzio kafika Magomeni au bado yuko Manzese Darajani,unajinyanyua...Halafu unajiita Mwanaume,unadundika kama Kaboka mchizi..

 Hujui kuishika Penseli,hamjui kuichonga penseli,mpo mpo tu,unapewa daftari unachorachora tu mwandiko haueleweki ni wa Mwanafunzi au daktari,Notes hazieleweki,unafutafuta tu mara uchane karatasi...

Mapenzi ni kama shule jifunze,ndo maana kuna darasa la kwanza ili ujifunze kuandika,ingekuwa haina maana watu wangeanzia shule Form 2.Mnatuaibisha na miandiko yenu,tunaonekana wote feki!NIMEMALIZA

3 comments:

  1. uwiiiiiiiiiiiiiii umewashushua loh

    ReplyDelete
  2. hahahahahahahaha bora umewaambia wewe mwanaume mwenzao teh teh teh

    ReplyDelete
  3. hahahaha suzy umeona enhee, karibu sana kwa hii blog nilijua hautai folow ila unavopenda malove umekuja hahahah hope hajasemwa baba Moreen

    ReplyDelete