Sunday, May 20, 2012

MUNGU ANA KAZI SANA KUJIBU MAOMBI YA WATU

Mungu ana kazi kwelikweli...

Najaribu ku-imagine kama maombi yote haya yanaingia kwa Mungu kwa mtindo wa Email hiyo inbox ya Sir God si ni balaa..

.Na kama kuna Email nyingi zinatumwa kwake wanaoongoza kutuma ni Machangudoa..I can tell hawa wanawake wanaongoza kwa kusali kuliko sisi wengine.

.''Mungu naomba leo nipate vichwa(wateja) 15 tu maana mwanangu mgonjwa na nyumba yangu imejaa maji kutokana na mafuriko natakiwa niishi gesti''...

Nyie mnaojifanya mnaenda Church na misikitini mnaweza kujikuta mmetuma Email 3 tu kwa mwezi...Am just thinking aloud

No comments:

Post a Comment