Sunday, May 20, 2012

MAUMIVU YA MAPENZI HUTOKEA GHAFLA,BAKIZA JAPO LITA 5 ZIKUSAIDIE PALE IKITOKEA BALAA

Unapojibeba na Ndoo nyingi za upendo na kuubwaga Moyo wako kwa mtu asilimia 100 ubakize angalau kigudulia cha Lita 5 za Machozi kama Back Up maana maumivu ya mahusiano siku hizi yanatokea tu ghafla kama Mafuriko ya Dar unajibwaga mwenyewe unalala zako na kuota ndoto ukijua kila kitu shwari unakuja kuamka kumbe moyo wako umeshasombwa na Maji siku nyingi.

..Itafikia muda tutaanza kupenda kwa Slow motion sasa maana maumivu yamezidi...

The people you trust wanakamua hadi tone la mwisho la Upendo wako,mioyo ya watu wengi imebaki Scrapper tu,inachukua muda kweli kufall in love kama kubadili gia ya Landrover kwenye mlima Kitonga

No comments:

Post a Comment