Sunday, May 20, 2012

WANAUME AINA YA MBWA KOKO...KILA JALALA MNATAKA KULA

Hii ni kwa wanaume aina ya Mbwa koko....Mnaojaribu kula kila kilichopo jalalani,japo mwenye mbwa anajitahidi kukulisha,na kukuvumilia japo anajua wewe ni koko sometimes hata kubweka huwezi...

How can you abandon a girl of ur dream,the girl u have spent almost all ur life, in gud and bad times,amevumilia na hajakukosea kitu chochote,wanaume mbona hatuna shukrani jamani,machozi ya hawa wadada yatatulaani daima,have a sense of respect when you are loved trully,sio unategwa kidogo tu na material things unamuumiza mtu

Umemfanyia kila aina ya kituko yupo,in your weak points yupo,in your emotional times yupo,eti ghafla tu unabadili mawazo unaamua kuchange direction,unachukua kifaa kingine,ambacho hujui hata rangi zake...Unamtenda bila kosa,kisa kipya kinyemi...Itakucost...waza upya kabla hujaamua kama mbwa koko,kuhamia jalalani wakati home kuna msosi umepikiwa

No comments:

Post a Comment