Tuesday, May 15, 2012

RELATIONSHIP NI KAMA DHAHABU,ILI ING'AE LAZIMA IPITIE MOTO

Kila madini yana Price tag...thamani ya dhahabu haiwezi kuwa sawa na madini ya Ulanga ya Morogoro..
Ili dhahabu iwe purified lazima ipite kwenye Moto mkali,hapo ndipo tunapata dhahabu yenye kung'aa na yenye thamani..Bila moto dhahabu ni li-jiwe tu lisilo na thamani kiivyo.

..Kila uhusiano wa kimapenzi una Challenge zake,na hizi challenge ndio hushape bond between two people....Ili uhusiano wako uwe... bora na imara lazima upite kwenye challenge ambazo ni kama moto kwa dhahabu....Ukiogopa moto basi uhusiano wako ni kama Ulanga tu...

Ukitaka relationship yako iwe na thamani na ubora wa ki-dhahabu kubali Moto,Ukitaka relationship ya shortcuts na ya thamani ya Ulanga kimbia moto...Moto(challenges) will always come,its your duty to be available for purification

1 comment:

  1. easy come aesy go,we av to work for things that we love,and make it real no matter how hard it might be

    ReplyDelete