Tuesday, May 15, 2012

MWANAMKE KAMA HAKUPENDI,HATA UFANYE NINI UTAMWAGWA TU

Mwanamke kama hakupendi utajua tu,hata ujishaua kitu gani tayari jawabu analo,hata ukifaulu kila mtego wake mwishoni utasikia,aah we unakula kitimoto mi sili hatutaendana.

.Unamnunulia gauni la rangi anayopenda utasikia,we vipi tangu lini me navaa gauni la Pink,naona umenichanganya na hawara yako..duh...au anakupa kubwa,mi nilikupenda ukiwa modo sasa hivi na mkitambi wako huo ntakupeleka wapi masho...sti wangu wote wanakusema una mtumbo kama Simtank...Sababu haina kichwa wala ugoko ila ndo imetoka,ukimwambia utaenda gym kitambi kitoke utasikia its too late...

Mwanaume kama hakupendi utamuona tu,kila swali linaleta mgogoro na ugomvi,yaani moto unawaka hata kwenye kwenye dimbwi la maji which is almost impossible...Baby utakula nini leo...Nani kakwambia nna njaa we vipi....Baby unavaa size gani viatu..SIJUI bwana we chochote lete tu...Baby whats the plan for future..Bwana nini wewe,wachumi wenyewe wanasema Future is uncertainity we unauliza future future..

Ukisikia goma limeanza kwa style hii ujue hapo Kama Japenga mwanangu...unapigwa chali vere soon

No comments:

Post a Comment