Wednesday, May 16, 2012

WABONGO NA KUOA WAZUNGU VIBIBI NA KUMEGWA NA VIBABU

Huu mimi huuita Ushamba na Ulimbukeni uliotukuka...Hivi kuolewa na Mzungu ni dili eeh?Kwani wazungu wana jinsia 2,moja nyama na nyingine ni ya nyama na Vitunguu swaumu??Mbona dada zetu mnajidhalilisha hivi,mnamegwa na mizungu imezeeka kama Mbwa aliyezaa mapacha 16,mibabu imetoka huko ulaya ilikuwa inauza Mitumba,inakuja kupumzika huku Africa mnajilengesha maskini.

Au mnadhani kila mzungu wa kiume ni babake na Justin Bieber nini?Mizungu mizee hadi inachechemea,eti zis is mai boifulendi,hata haya huoni,takataka tupu hamjijui,halafu wakisepa wanawaacha hapa mmefulia,mnatafuta tena wabongo wa kuoa,yaani mbabu kashatia gundu nani ajitoe kafara kukuoa?Labda mpalestina coz wamezoea kujilipua,ndo maana siku hizi watoto wadooogoo mmezeeka sura kama bibi zenu...

Mnatutia sana aibu...Bado na nyie wanaume mnaojifanya kuoa vibibi madai yenu Shortcut ya maisha,bibi hata sehemu ya kubusu kinyaa hadi umpake Mayonnaise

1 comment:

  1. wengi wanajidanganya na dhana ya kwamba eti wabongo sio wakweli kwenye mapenzi but in reality wengi wanaolewa au kuoa wazungu tena wazee wakitaka tu pesa hamna lolote. hao wazungu wenyewe divorce kila siku. huo ni ushamba kweli, ila kuna watanzania wapo na wana mapenzi ya kweli.

    ReplyDelete