Tuesday, June 12, 2012

BAADA YA CHOP MY MONEY NA AKON,ANGALIA VIDEO HII YA P'SQUARE NA RICK ROSS
Hawa ni waafrika wenzetu,kama wewe tu...

Wametoka hapo Nigeria tu lakini wanafanya muziki serious sana,baada ya Akon kwenye Chop my Money,sasa wameangusha dude jipyaaaaaaa wakimshirikisha Florida Boss, Rick Ross,wimbo unaitwa Beautiful Onyinye....

Angalia video hii kwa kuclick link hii http://youtu.be/lY2H2ZP56K4

No comments:

Post a Comment