Thursday, June 14, 2012

KITANDA CHENYE UWEZO WA KUJITANDIKA CHENYEWE KWA WALE WAVIVU TUSIOPENDA KUTANDIKA VITANDA ASUBUHI

Najua hii inawagusa watu wengi tu...Na hata mimi inanigusa kwa namna moja au nyingine!

wengi wetu tukikurupuka asubuhi huwa tumechelewa na tunaona kama kutandika Kitanda tunazidi kuchelewa tunaacha kiko shaghalabaghala,bila kutandika!

Kama kawaida yao Wazungu,wanajua tu kutengeneza pesa kwa kutumia madhaifu ya watu

Wametengeneza kitanda chenye mashine maalum ambayo ina uwezo wa kusense kwamba sasa mtu ameamka na inaanza kutengeneza Kitanda automatic.

Na jamaa wameweka Mechanism,Mashine hiyo haiwezi kufanya kazi kukiwa na mtu amelala,ila sekunde 5 tu baada ya wewe kuamka, Ile Mashine itasense kwamba sasa mtu ameamka,inatengeneza Kitanda.USIPIME KABISA,mzungu noma!

CHEKI MZIGO WENYEWE HUO:HAPA NI PALE UMEKURUPUKAHALAFU CHEKI HAPA MASHINE ISHAKUFANYIA KAZI AFTER 5 MINUTESNo comments:

Post a Comment