Friday, June 8, 2012

USIBONYEZE SWITCH YA ON KAMA HUONI SEHEMU YA OFF,UTAPATA AJALI

Mara nyingi watu huanza vitu,bila kujua muendelezo wa hivyo vitu itakuwaje,na Je,kama hivyo vitu havitaenda kama alivyoplan atafanyaje.

Ni rahisi sana kuanzisha biashara,lakini Je,uko tayari kuibeba hiyo biashara hadi ifike pale ulipoota ifike?Na je,ikishindikana kufika ufanyeje ili uweze ku-wind up na ubaki safe bila hasara??

Maswali haya ni muhimu sana kuyawaza,lasivyo,ni afadhali mara mia USIANZE...

Hata kwenye Mapenzi,ni hivyohivyo...Watu wanaonana,hisia zinawatuma kwamba wanapendana,wanajikuta wametumbukia kwenye Mapenzi....Wamepress ON,lakini wanajikuta kwenye mambo mengi ambayo mengine hawakuyatarajia...Walidhani zile feelings baada ya kupress ON zitaendelea kuwabeba..Hapana..Kuna lots of Ups and Downs hapa katikati ambazo mnapaswa kuziangalia kwanza kabla ya kupress ile butoon ya ON...

Hata kibiashara,lazima u-calculate Risk kabla hujaianzisha,sio unadumbukiza tu hela,utafeli.

Watch out...Mara nyingi Switch ya ON huwa inaonekana kwa urahisi sana ila OFF,ngumu na by the time unaiona,damage uliyopata ni kubwa.

Think twice before you press ON..

No comments:

Post a Comment