Friday, June 8, 2012

WIMBO MPYA AY NA MWANAFA-AMEN


Fungua http://bit.ly/L9mULO usikilize ngoma mpya ya kwanza kutoka kwao kwa Mwaka huu.

Ni Ambwene Yessaya na Hamees Mwinjuma, tena, kwenye Masikio yako

Humo ndani kuna nakshi za Mzee wa Shikide, Dully Sykes.

Good combination, Good Music,They keep the good musiq alive!

ENJOY

No comments:

Post a Comment