Thursday, June 7, 2012

BIJAMPOLA-BONGE MOJA YA FILAMU,JENGUA,BAMBO NDANI.HII NI NEXT LEVEL

*****WATCH IT IN YOUTUBE:http://www.youtube.com/watch?v=aplxMX9L9Bs*****
Angalia jinsi uhalisia wa Movie unavyotakiwa kuwa unapoangalia muvi hii ya BIJAMPOLA
Movie yenye maadili na matukio ya Kweli yanayotokea kwenye jamii ya Kiafrika...
BAMBO na JENGUA ndani....Its a Must watch Movie aisee
Imegusa baadhi ya matukio ya kweli yanayotokea kwenye jamii yetu, sisi kama wasanii tunajaribu kugusa kila Nyanja katika kuelimisha jamii yetu hasa katika kizazi hiki ambacho kinaelekea kubaya kwa kukosa maadili, hivyo ni jukumu letu kuilemisha jamii.
 Ni filamu nzuri yenye maadili inayofaa kutazamwa na kila rika alisema, Mohamed Fungafunga (Jengua)

No comments:

Post a Comment