skip to main |
skip to sidebar
ONGEZEKO LA WANAWAKE KUVUTA SIGARA NAKUNYWA POMBE
|
A GIRL DRINKING BEER |
|
A GIRL SMOKING |
Kuna
ongezeko kubwa sana la wadada wanaokunywa Pombe na kusmoke kwa
sasa..Najiuliza,wamependa au kuna force ya Wanaume wanaowa-date
kuwa-influence kuwa kama wao? Msipende kuiga tu,mwili wa mwanamke ni
kama ua,ukilipigisha mzigo juani kesho halipendezi tena,na haya machips
mnayokula mnakuwa na shape hazieleweki,mnazeeka mnakuwa na matumbo kama
Biringanya iliyoivishwa na jua...Nani aoe nyie?Mke chapombe na Mme
chapombe??watoto si watakuwa wanauza Chang'aa...Hawa maboyfriends
wanawaendesha kama punda,wanawaharibu halafu baada ya muda ur
dumped,ushajiishia,mnaanza kudandia kutafuta waume wa kuoa?Be
urself,hatuoi biringanya sisi JITUNZENI
No comments:
Post a Comment