Tuesday, May 15, 2012

HERI MSULI MDOGO WENYE FAIDA KULIKO BONGE LA MSULI LISILO NA IMPACT...WANAUME,GYM SIO SOLUTION,JUA MWANAMKE ANATAKA NINI

Wanaume, msipoteze muda mwingi kwenda Gym kujazia misuli mkidhani hiyo itasaidia Mahusiano yenu,kinachomridhisha mwanamke sio misuli mingi iliyojazia uliyonayo hadi haijulikani kiuno na nanii vinatengana wapi..

.Mwanamke anahitaji kusikilizwa,aseme anapenda nini,na anataka afanyiwe nini ili aridhike na kutulia...Hamuwapi hiyo nafasi...Saa zingine tutawalaumu tu wanawake ila kiukweli hatuwapi kile w...anachohitaji ndo maana wanakwenda nje....

.Kama una msuli mkubwa lakini hujui jinsi ya kuutumia ni hasara,ni bora uwe na msuli mdogo lakini unajua jinsi ya kuulia timing kutoa dozi inayostahili..

.Sihubiri mahaba,naongea na wale wanaofanya tendo la ndoa kihalali baada ya kufunga ndoa...Heri msuli mdogo wenye faida kuliko boongeee la Msuli halafu halina impact...you heard!!

No comments:

Post a Comment