Tuesday, May 15, 2012

PALE KIPORO KINAPOUZWA BEI MBAYA KULIKO CHAKULA FRESH...NANI ALAUMIWE?

Zamani wanaume walipenda kula Chakula fresh,walichukia sana wakikuta chakula walichonunua kwa bei mbaya ni KIPORO

...Kiporo kiliaminika kuwa chakula cha mbwa au kimwagwe jalalani...

Cha ajabu siku hizi watu wakiambiwa 'Tunauza kiporo hapa',wanakimbilia,wanajazana,na wengine kugombania kiporo,na viporo vingine ni vya juzi vinatoa na harufu ila watu wanalipia hela nyingi..Kaunta ya kuuza Chakula Fre...sh imedoda,haina watu...

Nini chanzo cha haya mabadiliko?

Je, Wanaume ni kiini cha wanawake wa siku hizi kutoheshimu zipu zao?ni kama zipu zao ni mbovu,hazifungi,Sketi zinaanguka popote tu.Au ni wanawake wenyewe wamechoka kukaa na Chakula Fresh coz hakina wateja?

Nani alaumiwe hapa??TUJADILI....,Maana Kiporo kina bei mbaya mtaani kuliko Chakula Fresh...

1 comment:

  1. Are u talking about chungwa na chenza ya suma lee?

    ReplyDelete