Tuesday, May 15, 2012

JE,MWANAMKE ANAWEZA KUISHI BILA MWANAUME?

Moja ya vitu ambavyo huwa naviwaza mara moja tu kwa mwaka....

Kama dunia ina watu zaidi ya Bilioni 7...na wanawake ni Bilioni 4.5,wanaume Bilioni 2.5....Kama kila Mwanaume akiwa mwaminifu kwa mke mmoja/mpenzi mmoja tu bila kucheat njeambayo ni zaidi ya Ngamia kupenya tundu la sindano,kuna wanawake Bilioni 2 hawatakuwa na mpenzi duniani,ni mwendo wa movie alone,dinner alone,muziki alone,na kulia ch...umbani alone....

Rate ya vifo vitokanavyo na stress na loneliness itakuwaje?Rate ya wanawake kuchukiana itakuwaje kama nw tu wananuniana na kuchukiana?Vipi kuhusu break up,kuna mwanamke atathubutu kuanzisha fyoko fyoko ili abreak up wakati wanaume wote wako occupied ili ajiunge na lile group la stress?.

..waza kwanza kisha ndo u-comment,maana kuna vichwa ngumu watajibu kilaini tu,ki-simple simple tu kwamba hawahitaji Mwanaume ili kuishi,they can be single,free, and happy wakati wanajua fika huo ni Uongo uliopindukia kama Fuso ya Kokoto

1 comment:

  1. ITS DAMN TOTALLY IMPOSSIBLE THIS WORLD WITHOUT SISI WATOTO WA KIUME. Na its really difficult kutocheat in this world ya sasa coz of our curiosity. yaani ukiona mtindi mkubwa utataka kuukumbatia uone unavokosa pumzi, ukiona mchina kakolea unataka kujaribu doggy stile, kimbaumbau ndo balaa! unataka kukashughulikia kisa unataka kugusa kale kamfupa, na ngoma nyeupe ndo mwe mwe mwe since unataka kuiona inavyobadilika rangi kuwa nyekundu wakati unaishughulikia. Me ndo mana siumizi kichwa to these viumbe coz they are more than enough in this world.

    ReplyDelete