Wednesday, June 27, 2012

WEMA SEPETU ANAJIANDAA NA HARUSI

Wiki nzima iliyopita amehit kwenye Blogs,Magazeti,na kila mahali baada ya kumleta mwanadada Staa wa Nollywood, Omotola Jelade kwenye uzinduzi wa Movie yake mpya iitwayo SUPERSTAR pale Giraffe Hotel.Ilionekana kama haiwezekani ila ndo hivyo...Mdada akatua

Katika hali iliyowashtua wengi,Leo,Mwanadada ambae daima yuko kwenye Magazeti, Wema Isaac Sepetu ametoa taarifa kwamba anajiandaa na harusi.

Wema yuko bize akiwaza aina gani ya gauni litamfaa na ameshaomba ushauri kwa watu kadhaa kuhusu choice ya nguo hiyo muhimu

Kwenye page yake ya Twitter,ameandika hili ingawa watu wengi hawakuamini na walimuuliza maswali kadha wa kadha awahakikishie kama ni kweli au ni Movie naye bila hiyana akawaambia ITS FOR REAL

CHEKI TWEET YAKE HAPA CHINI-FOR YOUR INFORMATION,USIPOAMINI HAIYAH ILA NDO HIVYO SASA...DADA HUYOOOOOOO ANAOLEWA!ILA MAHARI BADO

5 comments:

 1. mzushi huyo makahaba kwan huwa wanaolewa?

  ReplyDelete
 2. kwani Wema ni kahaba? uliwahi mnunua? usitafute umaarufu kupitia wema, Hongera dada go on mdogo wangu kama umepata wako tulia naye tafuta baraka za Mungu na wazazi pia!

  ReplyDelete
 3. huyo aliyesema kahaba, anadhani kwa kuwa mamake alikuwa kahaba akazaliwa yeye, anajua ndo kila mtu kahaba, wameishia kuridhi dada zako kutoka kwa mamako, si wema!

  ReplyDelete
 4. Acha kashfa,kahaba ulimnnunua bei gani? U must have respect.

  ReplyDelete