Tuesday, May 15, 2012

DOUBLE ENTRY SYSTEM YA MAPENZI

Kwenye Book-keeping kuna Debit na Credit....Kuna exceptional inaitwa Contra Entry...

Duniani kuna Man na Woman...Kuna exceptional inaitwa Gay/Lesbian....

Ukizaliwa Mwanamke,wewe una-belong upande wa DEBIT...Debit entries huwa ni either Asset au expenses...Tuko pamoja??Ukizaliwa Mwanaume wewe unakuwa na nature ya CREDIT...Credit entries huwa ni either Liabilities au Income..
.
Mwanaume ana-earn income lakini inatumika kulipa Expenses ambayo ni nature ya Woman..Ndo maana bili kwetu,club unalipa,hela ya saluni unatoa,kodi unaombwa,dressing table,na mbaya kabisa MAHARI unalipa...Income vs Expenses,


Expenses(woman nature) ikizidi Income(Man Nature) unatengeneza madeni(Liabilities,which is Man's nature)...Unapata Income lakini mwisho wa siku Umefulia

Kuzaliwa Mwanaume ni zaidi ya Kuwa na Masters' degree 2,inataka akili sana
Nimewaza tu,mawazo ya Mvua za Dar,kama unakubaliana namipoa,kama una argument hebu show me what you got

1 comment:

  1. hapa ulinifurahisha sana lil mo,inaonesha kweli umefudhu kuwa mwalimu wa watu wazima kama mimi,kip it up,
    by barbarita

    ReplyDelete