Tuesday, May 15, 2012

MAPENZI BILA HELA SIKU HIZI HAKUNA...UKIWA NA HELA UNAKUWA HANDSOME GHAFLA

If you dont have money you will never be handsome....a bad looking man turns handsome when he has money in the pocket..this is very automatic,all girls will be close to him...

we unashangaa jamaa baya lile,linamiliki mtoto mkaliiiiiiii,we na sura yako nzuriiii kila ukiuza sera utasikia,sorry am not ready to date now...

.sorry nimeumizwa sana sitaki kupenda.

..sorry am occupied..

.occupied we umekuwa themos ya chai...

.Wanaume wenzangu tafuteni hela,mapenzi bila hela Haiwezekani!!

1 comment:

  1. inategeme na mtu ulienae anataka nini, kama yuko kimaslahi basi hela kwake ndio mpango mzima, ila kama anakupenda for who you are and not for waht you have hatojali kama unapesa au unazo pesa.... so it depends na mtu kam yupo kimaslahi au ana kuhitaji wewe kama wewe

    ReplyDelete