Tuesday, May 15, 2012

KUWA MODEL IMEKUWA KICHAKA CHA USHOGA

Wewe mwanaume,nguo unazovaa hatuzielewi elewi,vishati vya pink na vijenas vimebana kalio kama za mbuzi na muondoko huo,,,mikoba unayobeba inatupa wasiwasi,ila kisingizio eti wewe unaenda na fashion...madai yako wewe ni model...kisingizio wewe ni mwanamitindo...au celebrity....celebrity unatembea kwa mguu vidimbwi vyote vya Chang'ombe unavijua hata ukifumba macho...Celebrity ku...twa kwenye Bajaj...

Haya ukija Facebook unaanza kusalimia salimia wanaume wenzio online...mara kifua chako kimejaa,kizuri kweli...mmh...saa 5 usiku unamuuliza mwanaume mwenzio kama ameshalala online na kama hajalala amevaa nini mmhhh jamaniii....Tukisema wewe Punga tutakosea kweli??Mmezidi jamani mnaonekana wa maana maofisini kumbe mnatoa fenesi bwana!

Hatukuelewi...hujawahi kuonekana na demu popote pale,huna girlfriend...Unaishije mwenzetu?au huna hormone, mwenzetu huna damu kama sisi mwili wako unatumia Utomvu wa Mgomba??Kwa hisani ya watu walewaleeeeee,wa Marekani...Wewe ni mwanaume kweli?hata kama umejazia misuli na vigimbi,hata Pundamilia kajazia..Mapunga mmezidi mjini jamani

No comments:

Post a Comment