Friday, May 11, 2012

MAAJABU 6 MAPYA YA DUNIA

Duniani kuna maajabu 8 ya dunia yanayojulikana.Haya yaligundulika karne za huko nyuma hadi karne ya 20..

Ukiona mambo haya hapa chini yametokea yatakuwa ni maajabu 6 mapya ya dunia ya karne hii ya 21:
1. Wanawake wawili marafiki wakutane halafu wakae mahali bila kuongea umbea,labda wawe mabubu
2. Msichana wa Miaka 30 kuwa bikira kizazi hiki halafu anakaa Sinza
3.Mke wa ndoa asikuombe hela ya matu...mizi,labda uoe mtoto wa Bakhresa
4.Utoke na Girlfriend outing ajilipie bili zote
5.Mwanaume amwambie msichana mmoja tu I love you only,na iwe ni kweli yuko yeye peke yake
6.Msichana atoke kwenda kwenye kideti bila Make-Up
7.Kukuta Bibi Harusi sio mjamzito au kama sio awe bikira,kizazi hiki cha watoto wa JK


UNADHANI HAYA YANAWEZEKANA??

No comments:

Post a Comment