Friday, May 11, 2012

WANAUME SIO SACCOS AU DECI JAMANI‎1 Dubai trip = Kiwanja cha Eka 1 hapo Boko
1 Brazilian Wigi = Mifuko 68 ya Simenti
1 Handbag ya Jimmy Cho = 10 Tankers of water
1 Quality High Heel shoe = 1 Trailer of sand
1 BB Torch = 1500 Blocks

... Halafu cost yote hii unaambiwa wewe kidume umlipie Mwanamke wakati kwa cost hii unaweza kujenga nyumba ya vyumba vitatu Boko ukaishi na mke na watoto

Girls,Hamuwezi kuwa serious...Wanaume sio Saccos au DECI jamani kuweni na huruma,watu hela hazikai,Wallet inatia huruma!

No comments:

Post a Comment