
Huyu jamaa anafanya Muziki...Sio bongofleva,ni Hip Hop...
Ni CEO wa kampuni ya Muziki inayoitwa Cash Money Records ambayo ina wasanii wakubwa kama Drake,Lil wayne na Nicky Minaj
Amezaliwa miaka 43 iliyopita na wazazi wakampa jina la Bryan Williams
Fans wake dunia nzima wanamfahamu kwa jina la Birdman...Ana watoto wawili Bria,na Brian JR.
Mpaka kufikia Mwezi April mwaka huu, Birdman alikuwa na utajiri unaofikia Dola Milioni 125 ambazo ni zaidi ya Bilioni 200 za madafu..
Mwaka huu alimpa zawadi mwanae wa kufikia,Lil wayne gari aina ya Bentley Mulsanne na yeye akajinunulia 1 la kufanana nae...Hakuishia hapo,akampa na zawadi, Rasi wa Young Money Records, Mack Maine Rolls-Royce mpya...Mack Maine hakuamini macho yake na akakiri hiyo ni ndoto ambayo hakuwahi kuota kama Birdman anamthamini kiasi hicho..
Kwenye Listi ya marapa wenye mkwanja mrefu duniani, Birdman amezidiwa na P.Diddy mwenye utajiri wa dola milioni 550 ambaye amekaa kwenye number 1 slot kwa mwaka wa 2 mfululizo. Listi ya marapa matajiri inafuatiwa na Sean Carter au Jay Z kama anavyofahamika akiwa na utajiri wa Dola milioni 460,halafu Andre Young au Dr Dre mwenye dola Milioni 260 kisha anafuata yeye,na anayefunga Top 5 ya mkwanja ni Curtis Jackson aka 50 Cent mwenye wallet ya Dola Milioni 110.
VITU USIVYOJUA KUHUSU YEYE
Birdman anaishi kwenye nyumba ya Dola Milioni 30 huko New Orleans,Louisiana...CHEKI HOUSE HIYO

Mwaka jana alinunua gari aina ya Bugatti Veyron kwa Dola milioni 2.5 ambazo ni bilioni 3 na ushee za madafu...Wiki iliyofuata akanunua Pete ya thamani ya Bilioni 3.Wiki moja akaspend Bilioni 6...Hapo vipi??Ni moja kati ya magari ya Bei mbaya zaidi duniani na ni wachache sana wameweza kununua akiwemo yeye,Christiano Ronaldo na Kanye West..HILO HAPO CHINI LICHEKI...
BUGATTI KWA NDANI
MUZIKI UNALIPA BWANA..UKIFANYA KWA MOYO,KWA KUJITUMA NA KWA HESHIMA
Ni baba wa kufikia wa Lil Wayne
Wakati Katrina Hurricane ilipopiga nchini Marekani, Birdman alipoteza Nyumba 20 na magari 50 kwenye Kimbunga hicho...Hakumind,akanunua mapyaaaa!
Ofisi ya Label yake ilibidi ihamishwe kwenda Miami baada ya Katrina kupiga almost kila kitu
Birdman ni Fan mkubwa wa Justin Bieber na amekiri hilo mara kadhaa
Hununua magari 100 kila baada ya Miezi 6..Na yale ya Zamani anagawa kama Zawadi
Mwaka huu,2012,amenunua gari kwa Special Order,aina yaLamborghini Aventador lenye thamani ya Dola 800,000 ambazo ni Bilioni 1.3 kwa madafu..HILO HAPO CHINI
....Kama haitoshi Birdman alikaririwa akisema ameweka Oda ya gari litakalotoka December mwaka huu aina ya Maybach Exelerro lenye thamani ya Dola Milioni 8 ambazo ni Bilioni 15 za madafu na ni lazima awe nalo ....LAZIMA UCHOKE...HILO HAPO CHINI
Halafu wewe ununue VITZ useme wewe Star???Hebu mtupishe





Hao ndio masuperstar sio hawa wetu kujiona sana tu, kazi kuchukua vitoto vya disco kila siku
ReplyDeletehahahaha
ReplyDeletemhh jamani sasa wamfumbia nani hapo?na vitz yake?lol
ReplyDeleteNamkubali
ReplyDeleteSikuwahi kuamini kitu kama hiki kingeweza kunitokea hadi ndoa yangu ilipokaribia kuisha kabisa.
ReplyDeleteMume wangu alibadilika ghafla. Mwanaume ambaye hapo awali alinipenda na kunijali akawa baridi, asiyejali, na mwenye hasira bila sababu. Aliacha kuonyesha nia katika ndoa yetu, akaniepuka kabisa, na hatimaye akaniomba talaka. Nilivunjika moyo kwa sababu nilimpenda mume wangu kwa moyo wangu wote.
Mambo yalizidi kuwa mabaya aliponizuia kila mahali — WhatsApp, Facebook, Instagram — kana kwamba sijawahi kuwepo. Nililia kila usiku nikijiuliza nilifanya nini kibaya.
Siku moja, rafiki wa karibu alinitembelea na kunitambulisha kwa mtu wa kiroho anayeitwa Dkt. Dawn. Kwa kweli, mwanzoni nilikuwa na shaka, lakini niliamua kumweleza kila kitu kwa sababu sikuwa na chochote cha kupoteza.
Dkt. Dawn alinisomea mambo ya kiroho, na nilishtuka. Alifichua siri kuhusu ndoa yangu na maisha yangu binafsi ambayo hakuna mtu aliyejua. Kila kitu alichosema kilikuwa sahihi 100%. Kisha akafichua kwamba mwanamke mwingine alikuwa amemloga mume wangu. Mwanamke huyu alikuwa akimtembelea mara nyingi, na kwa upumbavu niliamini ilikuwa kuhusu kazi tu.
Dkt. Dawn alinisaidia kuvunja uchawi na akafanya ibada yenye nguvu ya kurejesha upendo kwa ndoa yangu.
Kwa mshangao wangu mkubwa, muda mfupi tu baadaye, mume wangu alinifungulia kizuizi mwenyewe na kuanza kunipigia simu na kunitumia ujumbe mwingi, akiniomba nimsamehe na nirudi nyumbani. Mwanzoni nilimpuuza kwa sababu ya maumivu aliyonisababishia, lakini hatimaye alirudi nyumbani akiwa na zawadi na machozi machoni mwake akiomba nafasi nyingine.
Leo, ndoa yetu ni imara zaidi, yenye furaha zaidi, na yenye amani zaidi kuliko hapo awali. Mapenzi kati yetu yanahisi upya kabisa.
Kana kwamba hiyo haitoshi, Dkt. Dawn baadaye alinisaidia na ibada ya ujauzito kwa sababu tulikuwa tumejitahidi kwa miaka mingi kupata watoto. Ndani ya wiki 8, nilipata mimba kiasili, na leo tumebarikiwa na wavulana wawili wazuri wenye afya njema.
Nitaendelea kushukuru milele.
Ukihitaji: Uchawi wa mapenzi wa kuungana tena na mpenzi wako wa zamani
. Usaidizi wa kurejesha ndoa
. Tamaduni za ujauzito za kupata mimba
. Usaidizi wa kiroho kwa kesi za mahakamani au kupona urithi
. Mwongozo na ulinzi wa kiroho
Ninapendekeza sana Dkt. Dawn. Ushuhuda wangu ni wa kweli, na furaha yangu leo ni uthibitisho. WhatsApp yake: +2349046229159
dawnacuna314@gmail.com